Baada ya kuwasili mkoani Tabora mapema leo, kikosi cha Yanga kimeanza maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Biashara United
Mchezo huo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), utapigwa keshokutwa Ijumaa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi




ADVERTISE HERE