Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Tabora kuelekea mchezo wao wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Biashara United
Mchezo huo utapigwa siku ya Ijumaa, Juni 25, katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Hii ni nusu fainali ya tatu mfululizo Yanga inashiriki. Safari hii Wananchi wamepania kwenda fainali na kushinda taji hilo hasa baada ya kupoteza nafasi ya kushinda ubingwa wa ligi kuu


ADVERTISE HERE