Magaigwa ajumuishwa kikosini Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jun 2021
Magaigwa ajumuishwa kikosini Yanga

Mlinda lango wa Yanga B Godfrey Magaigwa amejumuishwa kwenye kikosi cha wakubwa kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Biashara United

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Ijumaa, Juni 25, uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora

Yanga imeondoka jijini Dar es salaam mapema leo kuelekea Tabora kwa usafiri wa ndege

Magaigwa aliibuka kuwa mlinda lango bora wa ligi kuu ya Vijana iliyofikia tamati mwishoni mwa wiki iliiyopita

Vijana wa Yanga walitinga fainali ya michuano hiyo lakini wakapoteza mchezo kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’