Ajenda za Mkutano Mkuu wa Wanachama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jun 2021
Ajenda za Mkutano Mkuu wa Wanachama

Jumapili ijayo, Juni 27 2021 Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Yanga utafanyika katika ukumbi wa DYCCC Chang'ombe mkabala na Chuo cha DUCE

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji amewatangazia Wanachama wote ajenda za Mkutano huo Mkuu ambao utatumika kupitisha masuala muhimu yanayoihusu Yanga

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Yanga, Mkutano huo utakuwa na takribani ajenda 12

Miongoni mwa ajenda hizo ni uchaguzi wa nafasi zilizowazi na kupitisha mapendekezo ya mabadiliko ya katiba na taratibu za Yanga

Pia kutakuwa na majadiliano ya Mapendekezo yaliyowasilishwa na Kamati ya Utendaji ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’