Ni bahati mbaya sana haaminiwi na benchi la ufundi lakini kwa hakika angeweza kuisaidia Yanga
Farouk Shikhalo ameendelea kufanya makosa yaleyale katika kila mchezo
Naamini umefika wakati Kabwili akaaminiwa kwa kupewa nafasi ya kuanza mbele ya Shikhalo
Kwa timu kubwa kama Yanga, haipaswi kuwa na mashaka langoni
ADVERTISE HERE