Uongozi wa klabu ya Yanga umeridhia maombi ya kujiuzulu kwa Edna Lema aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Wanawake 'Yanga Princess '
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, imebainisha kuwa Lema aliwasilisha ombi la kujiuzulu nafasi yake ambapo Kamati ya Utendaji iliyokutana leo, imeridhia ombi lake

Β
ADVERTISE HERE