Yacouba aiwahi Mwadui Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jun 2021
Yacouba aiwahi Mwadui Fc

Kesho Jumapili Wananchi watashuka katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Mwadui Fc ukiwa ni mchezo wa raundi ya 31 ligi kuu ya Vodacom

Habari njema kwa Yanga ni kurejea kwa mshambuliaji wake Yacouba Songne aliyekuwa Burkina Faso kwa ajili ya majukumu ya timu ya Taifa

Yacouba alikosa mchezo dhidi ya Ruvu Shooting juzi ambao Yanga ilishinda mabao 3-2

Afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema Yacouba tayari yuko kambini Kigamboni akiungana na wenzake kuendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Mwadui Fc

Aidha Bumbuli amesema wachezaji Mukoko Tonombe na Farid Mussa nao wanaendelea vizuri

Mukoko atafanyiwa vipimo zaidi kubaini changamoto inayomkabili wakati Farid yeye aliugua ghafla wakati wa mapumziko mchezo dhidi ya Ruvu Shooting

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’