Kiungo wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa Ali Mayay Tembele atazungumza na Wanahabari leo, Mkutano utafanyika Lion Hotel, Sinza jijini Dar es salaam
Mayay atafunguka baada ya kuenguliwa kwenye kinyan'ganyiro cha kuwania nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) hapo jana
Taarifa ya kuenguliwa kwake ilibainisha kuwa Mayay alikosa idadi ya wadhani waliopaswa kuwapata kisheria (watano) akipata mdhamini mmoja tu
Pia anadaiwa kutothibitisha baadhi ya nyaraka kwa Mwanasheria
ADVERTISE HERE