Sarpong kumaliza ukame wa mabao leo?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2021
Sarpong kumaliza ukame wa mabao leo?

Disemba 06 2020, Mshambuliaji Michael Sarpong alifunga bao lake la nne kwenye ligi kuu ya Vodacom msimu huu

Ilikuwa katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting, mchezo ambao wananchi waliondoka na ushindi wa mabao 2-1

Tangu wakati huo Sarpong hajafanikiwa kufunga bao, leo Ruvu Shooting wako mbele yake tena

Je Sarpong atamaliza ukame wa mabao katika mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja usiku?

Sarpong ni mmoja wa washambuliaji ndani ya kikosi cha Yanga ambao wako kwenye presha kubwa

Michezo hii ya mwishoni inaweza kumpa nafasi ya kurejesha imani ya Wananchi kwake

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’