Oscar Oscar nje Uchaguzi TFF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2021
Oscar Oscar nje Uchaguzi TFF

Mgombea wa nafasi ya Urais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Oscar Oscar ameenguliwa katika kinyan'ganyiro cha uchaguzi huo utakaofanyika August 07 2021 mkoani Tanga

Oscar amethibitisha kuokea barua pepe kutoka kwa Shirikisho ikimtaarifu kuwa hakukidhi vigezo ili kuweza kuwa mgombea wa nafasi hiyo

Oscar ni miongoni mwa wagombea ambao walitoa malalamiko baada ya kukosa udhamini

Aidha mgombea mwingine kutoka visiwani Zanzibar Ally Saleh nae amethibitisha kuenguliwa katika kinyan'ganyiro

Leo TFF inatarajiwa kuweka hadharani majina ya wagombea ambao wameptishwa kuwania nafasi ya Urais na Wajumbe wa Kamati ya Utendani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’