Kesho Alhamisi kikosi cha Yanga kinarejea kukamilisha ngwe ya lala salama ligi kuu ya Vodacom kwa kuikabili Ruvu Shooting
Mchezo utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja usiku
Afisa Mhamasishaji Antonio Nugaz amewataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
"Pamoja na kelele nyingi huko kwenye mitandao ya kijamii, sisi tunakwenda kupambana kusaka alama tatu. Niwatake wapenzi, wanachama na mashabiki wetu kujumika nasi katika mchezo huo muweze kupata burudani"
ADVERTISE HERE