Nusu fainali ASFC kupigwa Juni 25

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jun 2021
Nusu fainali ASFC kupigwa Juni 25

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa michezo ya nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) itapigwa Juni 25 na Juni 26 katika mikoa ya Tabora na Ruvuma

Mchezo wa kwanza wa nusu fainali kati ya Biashara United dhidi ya Yanga utapigwa Juni 25 kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora wakati mchezo wa pili kati ya Azam Fc dhidi ya Simba utapigwa Juni 26 katika uwanja wa Majimaji, Songea

Mchezo wa fainali unatarajiwa kupigwa mkoani Kigoma uwanja wa Lake Tanganyika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’