Kulingana na takwimu zilizotolewa na TFF, kiungo wa Yanga Feisal Salum ndio mchezaji aliyekava eneo kubwa zaidi kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya Malawi uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa juzi Jumapili
Fei Toto alikimbia wastani wa umbali wa Kilomita 11.34 na kuwa mchezaji aliyekava eneo kubwa zaidi
Kiungo huyo fundi alikuwa katika kiwango bora sana kwenye eneo la kiungo
ADVERTISE HERE