Yanga yatinga nusu fainali ligi ya vijana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2021
Yanga yatinga nusu fainali ligi ya vijana

Yanga U20 imetinga nusu fainali ya ligi kuu ya Vijana baada ya kuichapa Mwadui Fc mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex. Chamazi

Abbas Mikimba na Abdulkarim Yunus ndio walioivusha Yanga hatua hiyo baada ya kufunga mabao katika mchezo huo

Ilikuwa siku nzuri kwa Yunus aliyefunga mabao mawili

Wananchi hao vijana wamekamilisha nane bora wakiwa na alama saba, wakifunga mabao matano huku wakiwa hawajaruhusu nyavu zao kutikiswa

Wako kileleni mwa kundi A

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’