Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi Avic Town, Kigamboni kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting
Mchezo huo utapigwa siku ya Alhamisi, Juni 17 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, muda wa mchezo ukiwa ni saa moja usiku
Zikiwa zimesalia mechi tano kukamilisha msimu, Yanga imepania kukusanya alama tatu kutoka kila mchezo
ADVERTISE HERE