Vijana wa Yanga U20 leo wanakamilisha ratiba ya nane bora ligi ya vijana kwa kuumana na Mwadui Fc katika mchezo utaochezwa kuanzia saa moja usiku
Yanga inahitaji alama moja tu kujihakikishia nafasi nusu fainali ya michuano hiyo
Wanakumbana na Mwadui Fc ambayo tayari imeondoshwa mashindanoni baada ya kupoteza mechi zote mbili za kwanza
Mchezo mwingine wa kundi A ni kati ya Simba dhidi ya JKT Tanzania

ADVERTISE HERE