Ruvu Shooting vs Yanga ni Alhamisi, Juni 17

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jun 2021
Ruvu Shooting vs Yanga ni Alhamisi, Juni 17

Wiki hii ligi kuu inarejea kukamilisha ngwe ya lala salama ambapo siku ya Alhamisi, Juni 17 Yanga watakuwa wageni wa Ruvu Shooting katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema timu imeendelea kujifua pamoja na kuwakosa baadhi ya wachezaji waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa

Wachezaji hao wanatarajiwa kujiunga wenzao kuanzia leo baada ya kukamilisha majukumu yao

Yanga bado inapiga hesabu za ubingwa lakini ni lazima washinde michezo yote mitano iliyobaki huku wakiomba Simba wapoteze baadhi ya michezo

Aidha Wananchi pia wana nafasi ya kushinda kombe la FA wakiwa wametinga nusu fainali, wakisubiri kuwakabili Biashara United

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’