FT : Tanzania 2-0 Malawi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jun 2021
FT : Tanzania 2-0 Malawi

Tanzania imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malawi katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Kikosi cha kocha Kim Poulsen leo kilikuwa na mchezo mzuri, pengine ni ushindi ambao waliustahili

Mabao yote yalipatikana kwenye kipindi cha pili yakifungwa na nahodha John Bocco na mlinzi wa kulia Israel Mwenda aliyefunga bao mahiri kupitia mpira wa adhabu

Ilikuwa ni kazi nzuri iliyofanywa na mshambuliaji Kibu Denis ambaye alihusika katika kupatikana mabao yote mawili

Akiwa ameitwa timu ya Taifa kwa mara ya kwanza, Kibu aliwapa wakati mgumu walinzi wa Malawi kila alipokuwa na mpira

Matokeo haya yatainufaisha Tanzania kwenye viwango vya FIFA kwani wameifunga Malawi ambayo iko juu katika viwango ukilinganisha na Tanzania

Malawi pia wamefuzu kwa fainali za Afcon zitakazofanyika mwakani Cameroon

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
39m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’