Injinia Hersi yuko Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2021
Injinia Hersi yuko Afrika Kusini

Mtandao wa Kickoff wa Afrika ya Kusini umethibitisha kuwa Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said ametua Afrika Kusini kukamilisha makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa Kaizer Chiefs Lazarous Kambole

Kambole anafahamika kuwa miongoni mwa wachezaji ambao Chiefs wanakusudia kuwauza katika mpango wa kukisuka upya kikosi chao

Hivi karibuni Chiefs walimtimua Kocha Mkuu Gavin Hunt baada ya kufungwa mabao 3-0 na Simba licha ya kutinga nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-3

Kickoff wamedokeza kuwa Injinia Hersi alitua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa OR Tambo mapema leo baada ya kusafiri kutoka DR Congo ambako alikamilisha usajili wa mchezaji mwingine

Majadiliano kati ya Yanga na Chiefs kuhusu Kambole yalianza wakati Chiefs walipokuja Tanzania kucheza na Simba

Chiefs wako tayari kumwachilia Kambole kwani hiyo itawawezesha pia kufungua nafasi ya kigeni, ambayo itawaruhusu kuleta wachezaji wengine wa kigeni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’