Leo ikiwa siku ya kwanza zoezi la kuchukua fomu kuwania nafasi za uongozi TFF, wagombea watatu wamechukua fomu kuwania Urais
Wallace Karia, amekuwa mgombea wa kwanza kuchukua fomu huku Evans Mgeusa na Zahor Mohammed Haji nao wakichukua fomu
Zoezi la kuchukua na kurudisha fomu litafungwa Juni 12 2021, saa kumi kamili jioni

ADVERTISE HERE