Biashara United wameanza mkwara mapema

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2021
Biashara United wameanza mkwara mapema

Kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam kati ya Yanga dhidi ya Biashara United ambao utapigwa mwishoni mwa mwezi huu mkoani Tabora, Biashara United 'wamechimba' mkwara kuwa hawaogopi kuwakabili mabingwa hao wa kihistoria

Mchezo huo utakaopigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mshindi wake atatinga fainali ambapo katika hatua hiyo atachuana na mshindi wa mchezo kati ya Simba dhidi ya Azam Fc

Yanga ilishinda mechi zote mbili za ambazo timu hizo zilikutana kwenye ligi msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’