Nyota wanne wa klabu ya Yanga walioitwa timu ya Taifa, wote wameripoti kambini ya timu hiyo inayojiandaa na mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi
Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, Juni 13 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Metacha Mnata, Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto na Feisal Salum wamejumuishwa katika kikosi hicho cha wachezaji 27


ADVERTISE HERE