Afisa Habari wa zamani na aliyewahi kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga Dismas Ten ambaye ni mtaalam wa IT, amejitosa katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Kupitia kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Ten ametangaza nia kuwa atagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi huo utakaofanyika August 07 2021
Fomu zinaanza kutolewa keshokutwa Jumanne Juni 08 mpaka Juni 12 2021
Rais wa sasa Walllace Karia anatarajiwa kugombea kwa muhula wa pili
Je Ten atajitosa kweli au anapima upepo?
ADVERTISE HERE