Kiungo wa Yanga Mukoko Tonombe amewashukuru mashabiki wa timu hiyo waliomtumia salamu za pole baada ya kupata majeraha kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki wakati akiitumikia timu yake ya Taifa DR Congo dhidi ya Tunisia
Mukoko amesema kwa sasa hali yake inaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu

ADVERTISE HERE