Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeingia kambini jana kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi utakaopigwa wiki Jumapili ijayo, Juni 13 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Kocha Mkuu Kim Poulsen aliita wachezaji 27 kwa ajili ya mchezo
Miongoni mwao, nyota wanne wametokea klabu ya Yanga
Wachezaji hao ni Metacha Mnata, Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto na Feisal Salum 'Fei Toto'
ADVERTISE HERE