Farid asubiri mkataba mpya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jun 2021
Farid asubiri mkataba mpya Yanga

Winga Farid Mussa alitua Yanga August 2020 katika dirisha kubwa la usajili akitokea klabu ya Tennerife inayoshiriki ligi daraja la pili Hispania

Farid alisajiliwa na Yanga kwa makubaliano maalum ambapo nyota huyo alikuwa na fikra ya kurejea barani Ulaya

Winga hiyo wa zamani wa Azam Fc, alisaini mkataba wa mwaka mmoja ambao unafikia tamati mwishoni mwa msimu

Ni miongoni mwa wachezaji ambao hatma yake inabaki mikononi mwa kocha Nasreddine Nabi

Farid amerejea kikosini hivi karibuni baada ya kupona majeraha yaliyomuweka nje kwa wiki kadhaa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
13h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
17h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
18h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
18h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’