Hersi aweka wazi mchanganuo wa uwekezaji Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jun 2021
Hersi aweka wazi mchanganuo wa uwekezaji Yanga

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said amesema Yanga inakuja na mfumo mchanganyiko ambao utajumuisha Wanachama na Wawekezaji

Katika mgawanyo huo, Wanachama watakuwa na hisa asilimia 51% na Wawekezaji ni hisa asilimia 49%

Kwa upande wa wanachama watakuwa na viongozi wao ambapo kiongozi wa juu kabisa atakuwa ni Rais wa Yanga

Kwa upande wa Wawekezaji kutakuwa na Bodi ya Yanga Sc ambayo itakuwa chini ya Kampuni ya Yanga

Bodi itakuwa na wajumbe 9, wajumbe 5 watatoka upande wa wanachama na wajumbe 4 upande wa wawekezaji

Ili kupata nafasi ya kuwa Mjumbe kwenye bodi kwa upande wa Mwekezaji ni lazima uwe na hisa kuanzia asilimia 12.25% ya hizo 49%

Ukifikisha asilimia hizo ndipo unaweza kupata nafasi ya kuwa na mwakilishi kwenye Bodi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’