Kiungo Mukoko Tonombe yuko kule DR Congo katika majukumu ya timu ya Taifa
Mukoko ni miongoni mwa wachezaji sita wa Yanga ambao wameitwa katika timu za Taifa
Wengine ni Yacouba Songne (Burkina Faso), Metacha Mnata, Dickson Job, Bakari Nondo na Feisal Salum walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambayo itaingia kambini kesho Jumamosi, Juni 5


ADVERTISE HERE