Yanga kujipima na African Lyon Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jun 2021
Yanga kujipima na African Lyon Jumapili

Wakati ligi ikisimama kupisha mechi za Kimataifa zilizo katika kalenda ya FIFA, Wananchi wanaendelea kujifua Kigamboni ambapo Jumapili ijayo watakuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya African Lyon

Mchezo huo utapigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi

Ni sehemu ya maandalizi ya kikosi cha Yanga ambapo ligi itakaporejea Juni 17 watacheza na Ruvu Shooting mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin  Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’