Wadau wa soka nchini leo wamejitokeza kwa wingi kwenye maziko ya Mwanachama maarufu wa Yanga Mzee Juma Mwambelo aliyefariki dunia jana
Mzee Mwambelo amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam
Mzee Mwambelo atakumbukwa kwa msimamo wake mkali katika kutetea maslahi ya Yanga






Mwenye es Mungu ailaze roho yake mahala pema Peponi - Amina
ADVERTISE HERE