Yanga imedhamiria kukiimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao
Changamoto zilizojitokeza msimu huu, zimewapa somo mabosi wa Kamati ya usajili na sasa wamepania kushusha majembe kwelikweli
Tetesi zimekuwa nyingi kumuhusu huyo mwamba Shaban Djuma anayekipiga na klabu ya AS Vita
Wananchi wameambiwa wasubiri habari nzuri.....!
ADVERTISE HERE