Aliyekuwa mpiga picha wa Azam TV, Iddi Mambo amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mambo alifahamika na wengi kutokana na kazi yake ya kuchukua matukio mubashara ikiwemo michezo mbalimbali ya ligi kuu ya Vodacom.
Mungu ailaze roho yake mahali pema Peponi, AMEN.

ADVERTISE HERE