Baada ya ukimya wa miezi kadhaa, uongozi wa klabu ya Yanga umetoa taarifa kuhusu mwenendo wa kesi ya winga Bernard Morrison liyesajiliwa na Simba katika dirisha la usajili lililopita
Kupitia taarifa yake, Yanga imetaja sababu ya kesi hiyo kuchelewa kusikilizwa na Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa Michezo (CAS)
Morrison aliweka pingamizi akiomba kesi hiyo isisikilizwe na CAS ili irejeshwe nchini
Ombi hilo limetupiliwa mbali na kesi itaanza kusikilizwa rasmi Juni 02

ADVERTISE HERE