Kiungo Carlos Carlinhos ameondoka Yanga akiacha rekodi ya kipekee ambayo pengine wananchi walitamani kuishuhudia kwa muda mrefu zaidi
Amecheza michezo tisa za VPL, amefunga mabao matatu na kutoka pasi tatu za mabao
Lakini pia ameshiriki mechi mbili za kombe la FA, mchezo dhidi ya Kengold akionyeshwa kadi nyekundu na mchezo dhidi ya Prisons ukiwa wa mwisho
Mchango wake umeonekana, Wananchi watakuwa wachoyo wa fadhila kama hawatathamini kile kidogo alichowaachia
Imekuwa bahati mbaya kwake,Β mazingira ya Tanzania yamekuwa magumu, uamuzi wake uheshimiwe
ADVERTISE HERE