Changamoto ya ufinyu wa muda kuelekea msimu wa 2021/22

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 May 2021
Changamoto ya ufinyu wa muda kuelekea msimu wa 2021/22

Dirisha la usajili kwa ajili ya msimu wa 2021/22 lilipaswa kufunguliwa Juni 15 hata hivyo limesogezwa mbele kutokana na kuchelewa kumalizika kwa ligi kuu msimu huu

Ligi ilipaswa kumalizika mwezi huu May lakini kutokana na changamoto zilijitokeza ikiwemo kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, awamu ya Tano Dk John Magufuli

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo amesema kusimama kwa ligi mwezi mmoja kuliathiri mpangilio wa ratiba pia muingiliano wa ratiba ya michuano ya CAF kwa klabu za Simba na Namungo

Kulingana na Ratiba mpya, msimu utamalizika Julai 18 takribani mwezi mmoja kabla ya kuanza msimu mwingine wa 2021/22

Kasongo amesema watatangaza tarehe ya kufunguliwa dirisha la usajili ingawa ukiangalia jinsi ratiba ilivyo, kunaweza kusiwe na muda mrefu sana

Msimu utakapomalizika pia timu hazitakuwa na muda mrefu wa kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu mwingine kwani kutakuwa na takribani mwezi mmoja tu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’