Tunatuma salamu za pole kwa kiungo wa Simba Clatous Chama aliyefiwa na mkewe Mercy Mkuka leo
Tunaungana na familia ya soka hapa nchini kumpa pole Chama
Mwenye ez Mungu ampe uvumilivu katika kipindi hiki cha majonzi makubwa
ADVERTISE HERE