Wengi wameshangawa na kutojumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa kiungo mshambuliaji wa Yanga Deus Kaseke ambaye yuko kwenye kiwango bora sana
Lakini wakati huohuo akaitwa Hassan Dilunga wa Simba ambaye hata katika timu yake hapati nafasi ya kucheza
Baada ya wengi kuhoji, ghafla jina la Dilunga likaondoshwa kwenye kikosi na TFF ikaomba radhi kuwa yalifanyika makosa ya kiuandishi
Hizi ndizo siasa ambazo wakati mwingine zinatukwamisha
ADVERTISE HERE