Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ametangaza majina ya wachezaji 27 watakaoingia kambini Juni 05 kujiandaa na mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi
Wachezaji walioitwa kutoka Yanga ni pamoja na Metacha Mnata, Bakari Nondo Mwamnyeto, Dickon Job na Feisal Salum

ADVERTISE HERE