Mukoko tuzo kama 'zote'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 May 2021
Mukoko tuzo kama 'zote'

Kiungo na nahodha msaidizi wa Yanga Mukoko Tonombe amekuwa msimu mzuri sana Tanzania

Ni msimu ambao ameshinda tuzo binafsi kama mchezaji bora wa mechi, mchezaji bora wa mwezi ndani ya Yanga, mchezaji bora wa mwezi VPL bila kusahau medali kule visiwani Zanzibar baada ya kutwaa kombe la Mapinduzi mapema mwaka huu

Mukoko ni miongoni mwa wachezaji bora waliopita Yanga miaka ya hivi karibuni

Nyota huyo raia wa DR Congo anatarajiwa kusafiri kujiunga na timu yake ya taifa inayokabiliwa na mechi za Kimataifa za kirafiki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’