Uchaguzi Mkuu TFF ni August 17

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 May 2021
Uchaguzi Mkuu TFF ni August 17

Kamati ya Utendaji Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imetangaza tarehe ya uchaguzi mkuu wa Shirikisho hilo kuwa ni August 17 2021

Rais wa TFF Wallace Karia amesema Kamati hiyo katika kikao chake kilichofanyika jana, ilipokea taarifa mbalimbali za maendeleo, marekebisho na maboresho ya kanuni yaliyowasilishwa na Kamati ya Sheria

Uchaguzi huo unafanyika baada ya viongozi walioko madarakani ambao walichaguliwa Agosti 12, mwaka 2017, kumaliza muda wao wa miaka minne kwa mujibu wa katiba.

Tayari mikoa imeshafanya chaguzi zake za kupata wawakilishi watakaohudhuria mkutano huo

Karia anatarajiwa kugombea kwa awamu nyingine lakini anatarajiwa kupata upinzani mkali kutoka kwa wagombea wengine watakaojitokeza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
58m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’