Baada ya kurejea kutoka Shinyanga, kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na mechi za lala salama ligi kuu ya Vodacom
Mchezo unaofuata kwenye ligi ni dhidi ya Ruvu Shooting na utapigwa Juni 17 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE