Kesho Ijumaa, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Kim Poulsen atazungumza na waandishi wa habari za michezo akitarajiwa kutangaza kikosi cha timu ya Taifa kwa ajili ya mechi za Kimataifa za kirafiki zilizo kwenye kalenda ya FIFA
ADVERTISE HERE