Miongoni mwa maeneo ambayo Yanga inatarajiwa kuboresha ni safu ya ulinzi upande wa kushoto
Jina la mlinzi wa kushoto wa Ruvu Shooting Edward Charles Manyama linatajwa zaidi kuelekea mitaa ya Twiga na Jangwani
Inaelezwa mwamba huyu anasubiri muda tu aelekee Jangwani pale mkataba wake na Ruvu Shooting utakapomalizika mwishoni mwa msimu
Alihusishwa kutua kwa Wananchi dirisha dogo lakini akashuhudiwa akijiunga na Ruvu Shooting kwa mkataba wa miezi sita
Manyama atakuwa mchezaji huru pale msimu huu utakapomalizika
Ni miongoni mwa walinzi hodari na hatari sana katika kushambulia
ADVERTISE HERE