Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke 'Deda 04'
Ni shujaa asiyeimbwa sana lakini ukizungumzia wachezaji waneotoa mchango mkubwa kwa Yanga msimu huu, Kaseke ni miongoni mwao
Kwenye ligi amefunga mabao sita na kutoa pasi nne za mabao wakati katika michuano ya kombe la FA amefunga mabao mawili
Ni yeye na Yacouba Songne ndio wanaoongoza kwa takwimu za mabao katika kikosi cha Yanga wakishiriki katika mabao 25
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake..
HAPPY BIRTHDAY KASEKE..!
ADVERTISE HERE