Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli
Bumbuli ni mwanahabari aliyebobea ambapo kwa kiasi kikubwa amejitahidi kukiendesha kitengo cha habari kwa weledi mkubwa
Ni kiongozi jasiri wakati mwingine akiingia matatani mbele ya wasimamizi wa soka nchini (TFF) kutokana na msimamo wake katika kutetea maslahi ya Yanga
Miezi michache iliyopita Bumbuli alifungiwa miaka mitano na TFF kutokana na msimamo wake wakati wa sakata la Bernard Morrison
Hata hivyo Yanga ilikata rufaa na kushinda rufaa hiyo hatimaye Bumbuli akarejea kwenye majukumu yake
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
Happy Birthday Bumbuli...!
ADVERTISE HERE