Kikosi cha Yanga jioni ya leo kilikamilisha maandalizi yake ya mwisho kwenye uwanja wa CCM Kambarage tayari kwa mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho la Azam ambao utapigwa kesho Jumanne katika uwanja huo
Kuelekea mchezo huo, Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema timu iko tayari kuikabili Mwadui Fc na kuwa hawatawadharau wapinzani wao




ADVERTISE HERE