Kumbe anatafutiwa mkataba kupitia Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 May 2021
Kumbe anatafutiwa mkataba kupitia Yanga

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli ni kama amekanusha tetesi zinazomuhusisha Ibrahim Ajib na Yanga akibainisha ni mchezo mchafu wa kumuongezea mchezaji huyo thamani aweze kupata mkataba mnono

Wananchi bado hawajasahau ule mchezo uliofanywa kwa Mohammed Hussein mwezi uliopita

Ni kama mbinu kwa wachezaji kuitumia Yanga kujiongezea thamani kipindi hiki dirisha la usajili linakaribia kufunguliwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’