Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Shinyanga kuelekea mchezo wao wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Mwadui Fc
Mchezo huo wa robo fainali, utapigwa keshokutwa Jumanne, katika uwanja wa CCM Kambarage

ADVERTISE HERE