Kiungo mshambuliaji wa Yanga Farid Mussa amekosekana dimbani kwa wiki kadhaa kutokana na sababu mbalimbali
Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema Farid yuko tayari kurejea kikosini baada ya kumaliza changamoto zote
"Tangu Machi 4, 2021, Farid amekosekana kwenye kikosi cha Yanga kutokana na sababu mbalimbali"
"Baada ya Machi 7, Farid alijiunga na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, na aliporejea alisumbuliwa na majeraha na baadaye Maralia"
"Sasa yuko tayari kuwatumikia Wananchi, tumpe sapoti nyota wetu anaporejea dimbani," alisema Bumbuli
ADVERTISE HERE