Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla ameitisha Mkutano Mkuu wa Wanachama tarehe 27 Juni 2021
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, imewataka Wanachama kulipia ada ya mwaka ili kuweza kushiriki Mkutano huo
ADVERTISE HERE